Back to home

Mama mchanga aliyepata matatizo baada ya kujifungua asaidiwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Baada ya miezi ya kilio kwenye mitandao ya kijamii, hatimaye sauti ya Scovia Halima imesikika. Mama huyo mchanga, ambaye alipata matatizo baada ya kujifungua tarehe 15 julai, alikuwa ametenganishwa na mtoto wake mchanga kwa zaidi ya miezi miwili akiwa amezuiliwa hospitalini kutok