Back to home

Mikakati ya kudhibiti hasara ya mavuno katika kaunti ya Trans Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Huku msimu wa kuvuna ukianza kushika kasi katika Kaunti ya Trans Nzoia, wakulima na viongozi wa eneo hilo wameitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ili kuhakikisha hawapati hasara baada ya mavuno,.