Back to home
Gavana Jeremiah Lomorukai adadisiwa na kamati ya bunge
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Gavana wa Turkana, Jeremiah Lomorukai, alikabiliwa na maswali mazito kutoka kwa Kamati ya Bunge ya Ukaguzi wa Matumizi ya pesa za Umma, inayoongozwa na Seneta Moses Kajwang, kuhusu miradi ya mamilioni ya pesa iliyokwama. Makazi ya gavana yaliyoigharimu kaunti zaidi ya shilingi mi