Back to home

Serikali itawalipia SHA Wakenya milioni 2.2 wasio na uwezo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Serikali itawalipia wakenya milioni 2.2 wasiojiweza gharama ya bima ya afya ya jamii - SHA. Rais William Ruto amezindua mpango huo ambao utafaidi familia elfu 558 kote nchini. Rais amesema hatua hiyoinalenga kuhakikisha kuwa kila mkenya anapata huduma bora za matibabu. Na kama an