Back to home
Kindiki: kwa wakaazi wa Mlima kenya: Msihadaiwe kumtema Rais Ruto
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Naibu Rais Kithure Kindiki amewarai wakazi wa eneo la Mlima Kenya wasikubali kuhadaiwa na wapinzani kumtema rais william ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kindiki amesema kuwa wanaoendelza siasa za wantam hawana ajenda yoyote ya maendeleo ilhali wengi wao wamekuwa kwenye uongozi na