Back to home
Sherehe ya bathdei yageuka mauti Mtito Andei
video
C
Citizen TV (Youtube)September 21, 2025
2h ago
Familia moja huko Kisii inalilia serikali kufanya uchunguzi wa kina kufuatia kifo tata cha jamaa yao katika eneo la kuogelea ndani ya hoteli alikokuwa Mtito Andei. Marehemu, Ben MAXWELL Ombui ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Lukenya alikumbana na