Back to home

RUPHA yasitisha SHA, yadai Ksh 10B

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Wagonjwa wanaotafuta huduma katika hospitali za kibinafsi sasa watalazimika kujipanga baada ya huduma za bima ya SHA kusimamishwa. Muungano wa hospitali za mijini na mashinani RUPHA ukisema kuwa hatua yake inafuatia madeni ya zaidi ya shilingi bilioni 10 ambayo hayakulipwa mwezi