Back to home
Wakazi washauriwa kuzingatia utabiri wa hali ya hewa Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Wakulima pamoja na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa wamehimizwa kutumia taarifa kutoka wataalamu wa hali ya hewa ipasavyo ili kuhepuka hasara na majanga kabla kutokea.