Back to home

Waziri wa usalama Murkomen atetea msimamo wa mafuta kwa polisi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
2h ago
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameendeleza msimamo wake kuwa hakuna makosa kwa wakenya kuwapa maafisa wa polisi mafuta ya magari wanapohitaji, ili kufanikisha usalama kwa wananchi. Murkomen akionekana kuwakosoa wale anaosema wanakerwa na matamshi yake. Alizungumza kaunti ya