Back to home
Polisi wamnasa mshukiwa wa biashara ya simu za wizi Nyeri
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Polisi mjini Nyeri wanamzuilia jamaa mmoja anayeaminika kujihusisha pakubwa, na biashara ya ununuzi na uuzaji wa simu za wizi.