Back to home
Wakulima wapewa miche ya mibuni kaunti ya Laikipia
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Katika juhudi za kuhimiza wakulima wa Laikipia kukumbatia kilimo cha kahawa, utawala wa kaunti hiyo, umeanza kusambaza miche ya mibuni kwa wakulima ambao wameonyesha nia ya kuwekeza katika kilimo hicho.