Back to home
Tume ya kupambana na ufisadi yachunguza mchakato wa ajira Siaya
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imeanza rasmi uchunguzi kuhusu madai ya uajiri wa madaktari mia tano katika kaunti ya Siaya, unaodaiwa kufanyika kinyume cha sheria.