Back to home

Waziri wa elimu Ogamba Migos ataka wahadhiri wa vyuo vikuu warudi shule

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
6h ago
Waziri wa elimu Julius Ogamba amewataka wahadhiri wa vyuo vikuu wanaogoma kurudi kazini akishikilia kuwa tayari serikali imechukuwa hatua na kutoa sehemu ya kiwango cha fedha kwenye akaunti zao kama walivyokubaliana. Akizungumza mjini Mombasa wakati wa kongamano la wakuu wa taasi