Back to home
IPOA yasema kuwa inachunguza kifo tata cha Simon Warui aliyefariki Korokoroni Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Warui aliripotiwa kufariki ndani ya seli ya Central Mombasa.Taarifa ya polisi inadai kuwa alikuwa ameiba Nairobi. Mashirika ya haki sasa yanataka uchunguzi wa haraka