Back to home

Serikali kuanza kuwalipa fidia watakaoathiriwa na ujenzi wa barabara ya Mombasa-Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
11h ago
Ujenzi wa barabara ya Mombasa kuelekea kilifi unatazamiwa kuendelea baada ya serikali kuanza kulipa fidia kwa watakaothirika na ukarabati wa barabara hiyo. Kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya barabara kuu nchini Luka kimeli amedokeza kuwa mkandarasi atahitajika kufanya kazi saa 24 ili