Back to home

Polisi wamnasa mshukiwa wa kuuza simu za wizi huko Nyeri

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
3h ago
Polisi mjini Nyeri wanamzuilia mwanamume mmoja anayeaminika kuhusisha na biashara ya ununuzi na uuzaji wa simu za wizi.