Back to home

Kongamano la UNGA Marekani

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
3h ago
Rais William Ruto ameyataka mataifa katika umoja wa mataifa kushinikiza mabadiliko katika umoja wa mataifa ili kuendeleza demokrasia na uwakilishaji ambao unaleta usawa miongoni mwa mataifa wanachama.