Back to home

Wahadhiri waendeleza mgomo katika vyuo vikuu vya umma

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
3h ago
Wanachama wa muungano wa UASU ambao unajumuisha wahadhiri na hata wafanyikazi katika vyuo vikuu vya umma wanaendelea na mgomo wao. Wahadhiri hao ambao wamebeba mabango ya kukashifu serikali kwa kuwapuuza, wamesema hawatarejea kazini hadi serikali itimize mkataba wao wa malipo. he