Back to home

Wahadhiri wa vyuo vikuu waandamana, wasema serikali imefeli kulipa deni ya Sh7.9bn ya 2017-2021

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 24, 2025
2h ago
Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma nchini wameandamana wakilalamika kuwa serikali imefeli kutimiza makubaliano ya pamoja ikiwemo kulipa deni ya shillingi bilioni 7.9 ya mwaka wa 2017-2021. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Keny