Back to home
Viongozi wa dini mbali mbali wakongamana mjini Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
1w ago
Kongamano la kimataifa la kidini maarufu Interfaith Convention limeng'oa nanga kaunti ya Machakos huku wajumbe wanaohudhuria kutoka kote ulimwenguni wakiwa mstari wa mbele wakitaka mabadiliko katika afya ya uzazi na usawa wa kijinsia, ili kuwezesha kina mama kuhusishwa katika mas