Back to home
Washukiwa wa ugaidi wanaoshtumiwa kuchoma vituo vya polisi wasomewa upya mashtaka
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Washukiwa 22 wa ugaidi walioshtumiwa kuteketeza vituo vya polisi vya Makongeni na Matuu wakati wa maandamano ya sabasaba hawakujibu mashtaka kama ilivyotarajiwa baada ya upande wa mashtaka kuomba muda wa kubadilisha makosa yao. Wakati huo huo, mahakama imekataa kumpa dhamana Edwa