Back to home
Wakulima wa mpunga Kisumu wakadiria hasara kubwa baada ya mafuriko
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Zaidi ya ekari mia moja za mpunga zimeharibiwa kufuatia mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika kaunti ya Kisumu. Wakulima kutoka eneo la Kochieng wanakadiria hasara kubwa, kwani wengi walikuwa wamejitayarisha kuvuna hii leo