Back to home

Wahudumu wa afya waandamana Nairobi wakidai mishahara ya miezi mitatu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
2h ago
Wahudumu wa afya kaunti ya Nairobi wameandamana wakidai mishahara yao ya miezi mitatu. Wahudumu hao chini ya vyama saba vya wahudumu wa afya wamemkashifu gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kwa kukiuka makubaliano yao ya awali na kukosa kuwajibika