Back to home
Familia ya Simon Warui yapinga matokeo ya upasuaji
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Familia ya Simon Warui, aliyefariki akiwa korokoroni katika Kituo cha Polisi cha central mjini Mombasa, imepinga matokeo ya uchunguzi wa mwili wake. Familia hiyo ikidai kuna njama ya kufichwa kwa ukweli na maafisa wa polisi.