Back to home
Polisi wachunguza kifo cha Zaituni Kavaya
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
3h ago
Polisi Nairobi wanasema bado wanachunguza kifo tata cha mwanamke mmoja katika jumba moja alikokuwa akifanya kazi mtaani Kilimani. Zaituni Kavaya aliaga baada ya kuanguka kutoka kwenye jumba moja alikokuwa akifanya kazi, ambako leo jamaa zake na chama cha wafanyakazi wa nyumbani w