Back to home
Serikali yatakiwa kutuma mgao wa kufadhili masomo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
2h ago
Serikali kupitia wizara ya elimu imeombwa kuhakikisha mgao wa fedha za kufadhili masomo shuleni unatolewa kwa wakati, ili kuwawezesha walimu kutekeleza mipango na miradi ya shule ipasavyo.