Back to home

Idara ya vyuo vya ufundi yahamasisha vijana Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Idara ya vyuo vya kiufundi imeanza juhudi za kuhamasisha vijana wanaotunza mazingira katika kaunti ya Kwale kujiunga na vyuo hivyo na kufanya kozi za ubaharia na za uchumi wa baharini.