Back to home

Kampuni ya Xiaomi kenya imezindua simu mpya ya kisasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Kampuni ya Xiaomi Kenya imezindua rasmi simu mpya ya kisasa aina ya Redmi 15, ikiahidi mageuzi makubwa katika nguvu, mwonekano, na sauti