Back to home

Viongozi wakusanyika All Saints Nairobi kwa ibada ya wafu ya Dalmas Otieno

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Viongozi walikusanyika katika kanisa kuu la All Saints Nairobi kwa ibada ya wafu ya aliyekuwa mbunge wa rongo, Dalmas Otieno. Mwanasiasa huyo alifariki Septemba 7 akiwa na umri wa miaka 80. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by