Back to home

Ripoti: Wengi wa wanawake wapanga uzazi nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Takriban nusu ya wanawake walio katika umri wa kupata ujauzito hawana ari au msukumo wa kupata watoto, kulingana na utafiti wa wizara ya afya. Ripoti hiyo ya utafiti ambayo imetolewa kabla ya siku ya kuadhimisha umuhimu wa mpango wa uzazi pia imeonyesha kuwa wanawake wengi sasa w