Back to home
Polisi waanzisha uchunguzi wa mauaji ya watu watatu Kericho
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
2h ago
Maafisa wa polisi eneo la Belgut kaunti ya Kericho wameanzisha uchunguzi wa kisa cha jamaa mmoja aliyewavamia watu watatu wa familia moja na kuwaua. Baada ya kutekeleza mauaji hayo, mshukiwa evans kiprono alishambuliwa na wenyeji na kuuawa. Kisa hiki kiliwaacha wenyeji vinywa waz