Back to home

Taharuki yazuka shamba la utata Imbolot, Transmara

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Kwa mara nyingine hofu imetanda miongoni mwa wenyeji wa Imbolot eneo la Transmara kuhusu na mzozo wa shamba eneo hilo. Hii ni baada ya malori ya maafisa wa usalama kufika eneo hilo kusimamia zoezi la kuhamishwa kwa wakaazi. Shamba hilo la zaidi ya ekari 400 linalopakana na mbuga