Back to home

Watangazaji wa Radio Citizen wameshiriki ibada katika kanisa la Embassy Chapel Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 28, 2025
2h ago
Radio Citizen imetamatisha ziara yake ya siku tatu katika eneo la Nyanza kwa ibada katika kanisa la Embassy Chapel mjini Kisii. Wakiongozwa na Mkuu wa Radio, Tina Ogal, kikosi Radio Citizen kiliwashukuru wakazi wa eneo hilo kwa kuifanya Radio Citizen kuwa kituo nambari moja nchin