Back to home
Kinara wa DCP amshutumu Rais Ruto kwa kuyumbisha taifa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 28, 2025
2h ago
Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka wamemshtumu Rais William Ruto kwa kutoa kauli zisizo na msimamo kufuatia ziara yake nchini marekani. Viongozi hao wamesema Rais Ruto amekuwa akitekeleza yale aliyokuwa akikashi