Back to home
Wanawake wazuiliwa hospitalini Thika kutokana na malipo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 28, 2025
2h ago
Swala la ufadhili wa afya ya uzazi kwenye bima ya afya ya SHA limeendelea kuibua maswali, baada ya video nyingine kutokea kuonyesha kina mama waliojifunga wakiwa wamezuiliwa katika hospitali ya Thika Level 5. Tukio hili likifuatia lile lililoshuhudiwa katika hospitali ya rufaa ya