Back to home

Hospitali ya Mater yaamriwa kuwachilia maiti baada ya miezi miwili ya kizuizi kutokana na deni

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Mahakama kuu hapa Nairobi leo imetoa uamuzi kuamuru hospitali ya Mater kuwachilia maiti ya mwanamke mmoja aliyekuwa amezuiliwa kwa miezi miwili kutokana na deni la zaidi ya shilingi milioni tatu. Jaji Nixon Sifuna kwenye uamuzi wake akisema kuwa kuzuia maiti kwa sababu ya deni n