Back to home
Maafisa wa polisi waliostaafu wakaguliwa dalili za saratani
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
1h ago
Wizara ya afya imetakiwa kuhamasisha umma kuhusu namna bima ya SHA inagharamia matibabu ya magonjwa ya saratani.
Mweneyekiti wa muungano wa polisi waliostaafu, Julius Waweru, anasema kuwa wakenya wengi wanapitia hali ngumu kwa matibabu ya saratani ilhali sha iko na jukumu la kus