Back to home

Walimu wa sekondari msingi washinikiza shule hizo zijisimamie

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Walimu wa Shule za sekondari msingi JSS katika Kaunti ya Lamu wamelalamikia mazingira magumu ya kufanyia kazi, huku wakiitaka Serikali kuajiri walimu zaidi. Haya yanajiri huku walimu wa JSS katika kaunti mbalimblali wakiendelea kushinikiza kuwa shule hizo zijisimamie badala ya k