Back to home

Bunge la kitamaduni Samburu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Wazee wa jamii ya Wasamburuu hutoa mwelekeo wa jamii na kutatua mizozo kupitia vikao vya bunge lao linalojulikana kama "Napoo" . wazee hao hukokangamana katika eneo maalum ambako wanawake hawaruhusiwi ili kuzungumzia maswala yanayosibu jamii hiyo na kuafikia suluhu kwa pamoja.