Back to home

Walimu wanafunzi wapewa ufadhili na hazina ya NG-CDF Lafey, Mandera

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Katika jitihada za kupunguza uhaba wa walimu kaunti ya Mandera, eneo bunge la Lafey, hazina ya NG-CDF, imetoa ufadhili kwa wanafunzi 150 wanaojiunga na taaluma ya ualimu katika chuo cha walimu cha Mandera. Hatua hii inatarajiwa kuziba pengo kubwa lililoachwa na walimu kutoka sehe