Back to home
Washukiwa wanne wazuiliwa baada ya mwili wa mwanamke kupatikana kwenye begi
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Maafisa wa polisi kutoka kituo cha Kigumo kaunti ya Murang'a wamewazuilia washukiwa wanne baada ya dereva wa texi kuwakabidhi mzigo wa mwili wa mwanamke mmoja uliyeuawa na kupakiwa kwenye begi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told