Back to home
Washukiwa wawili katika biashara ya kusafirisha misandali wakamatwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
2h ago
Miti ya misandali yenye uzani wa Tani saba nukta nane na yenye thamani ya shilingi milioni nane, imetekezwa katika kituo Cha polisi Cha Maralal, Kaunti ya Samburu. Huku washukiwa wawili wanaokisiwa kuhusika na biashara hiyo wakizuiliwa.