Back to home

Wakazi wa Marimanti Tharaka Nithi wajadili kilimo bora

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Wakazi wa Marimanti, Kaunti ya Tharaka Nithi, walipata nafasi ya kujadili masuala ya kilimo, makazi nafuu na usalama wakiwa na maafisa wa kutunga sera kutoka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti. Shughuli hii ilifanyika katika ukumbi wa Kanisa la Methodist Marimanti, ambapo mash