Back to home
Wakulima wa Pokot Magharibi watakiwa kutumia teknolojia
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Jamii ya Wapokot imetakiwa kutumia mbinu za kisasa kuzalisha vyakula ili kutumia vyema ardhi ndogo yenye rutuba inayopatikana katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Hatua ambayo inanuia kusaidia kukabiliana na uhaba wa chakula unaolikumba eneo hilo.