Back to home

Kocha wa Lukenya Dolphins Ben Okoth asema kwamba Kenya imejaliwa na waogeleaji wazuri

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Kocha wa timu ya kuogelea ya Lukenya Dolphins Ben Okoth amesema kwamba Kenya imejaliwa na waogeleaji wazuri ambao wakikuzwa vizuri wanaweza kushinda medali katika mashindano makubwa kama ya dunia na ya Olimpiki. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today an