Back to home
Polisi wachunguza kiini cha mwanamume kujiua Madogo Tana River
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Maafisa wa polisi katika mjini Madogo kaunti ya Tana River, wanachunguza kisa kimoja ambapo mwanaume alipatikana amejitia kitanzi ndaini ya nyumba katika kijiji cha Boji viungani mwa mji huo.