Back to home
Rais Ruto amkabili Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kukiri kuwa SHA ni bora kuliko Linda Mama
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Rais William Ruto amemjibu mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akisema bima mpya ya SHA ni bora kuliko mpango wake wa Linda Mama. Akizungumza katika kaunti ya Kajiado, Rais Ruto alisema kwamba serikali yake haijaondoa mpango huo bali umeboreshwa. Hata hivyo waziri wa afy