Back to home
Kamanda wa polisi Kaskazini Mashariki asema zoezi la usajili wa makurutu wa polisi litakuwa huru
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
3h ago
Kamanda wa Polisi wa eneo la Kaskazini Mashariki, Papita Ranka, amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa mchakato wa uajiri wa polisi unaotarajiwa kuanza hivi karibuni utakuwa huru na wa haki.