Back to home
Chuo kikuu cha Taita Taveta chashirikiana na wachimbaji madini
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Chuo kikuu cha Taita Taveta kitaendelea kushirikiana na wachimba madini wadogo ili kufanikisha uchimbaji madini kwa njia za kisasa sawa na kuboresha sekta hiyo.