Back to home
Maafisa wa TSC waongoza zoezi la upanzi wa miti Nyamira
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Tume ya Huduma za Walimu TSC katika kaunti ya Nyamira imeongoza wadau wa elimu katika kaunti hiyo, kuzindua zoezi linalolenga upanzi wa zaidi ya miche 40,000 wiki hii